Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukipata nafasi yakuwa bosi,kuwa na pesa usikubali jina lako libadilike usikubali kupewa heshima za kinafiki Linda sana identity yako ili ufe na heshima yako.Kamwe mafanikio yasikubadilishe
 
Si kwamba tu ahadi ni deni, bali ahadi ni heshima. Ukitimiza unalinda heshima, usipotimiza unajivua heshima." ~Togolani Mavura.
 
Back
Top Bottom