myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️Ukikopeshwa na ukabahatika kuzipata fedha ndani ya muda usisubiri paka upigiwe ujiongeze rudisha hela ya watu
SawaUsikubali kushindwa kirahisi wala usikubali kukatishwa tamaa kirahisi. Maisha ni nidhamu na uvumilivu. Nidhamu ndio itakayokufanya ufanye vitu vizuri kwa mpangilio.
Tunaishi na watu siku zote, tunafanya kazi na watu Always jifunze kumuelewa mtu na jitahidi uwe Mwepesi kujua unapokosea Linda heshima Yako, wapende hata kama wanakudharau, Dunia tambala bovu tunaishi na hata tunachokitafta sio chetu, tupendane!!

Usikubali kushindwa kirahisi wala usikubali kukatishwa tamaa kirahisi. Maisha ni nidhamu na uvumilivu. Nidhamu ndio itakayokufanya ufanye vitu vizuri kwa mpangilio.
✅️✅️Samehe haraka, Amini Taratibu, Penda kweli, cheka sana alafu Linda heshima yako...!
✔️✔️Samehe haraka, Amini Taratibu, Penda kweli, cheka sana alafu Linda heshima yako...!
📌📌Tunaishi na watu siku zote, tunafanya kazi na watu Always jifunze kumuelewa mtu na jitahidi uwe Mwepesi kujua unapokosea Linda heshima Yako, wapende hata kama wanakudharau, Dunia tambala bovu tunaishi na hata tunachokitafta sio chetu, tupendane!!
Kama kweli ukihitaji wakuheshimu basi ni lazima uwaoneshe kuwa una uwezo wa kuishi bila wao. Linda heshima yako kwa nguvu zako zote usikubali ivunjwe kirahisi umeitengeneza kwa muda mrefu kwa jasho na damu.
Nakubaliana na hiliKama Hujaambiwa > USIULIZE
Kama Hujaalikwa > USIENDE
Umealikwa muda umeenda >KATAA MUALIKO (maana haukuwa sehemu ya mipango yao wamefanya hivyo ili kukuridhisha na wewe ni kama last option kwao jitahidi kama mwanaume/mwanamke linda HESHIMA YAKO na THAMANI YAKO
AiseeKama Hujaambiwa > USIULIZE
Kama Hujaalikwa > USIENDE
Umealikwa muda umeenda >KATAA MUALIKO (maana haukuwa sehemu ya mipango yao wamefanya hivyo ili kukuridhisha na wewe ni kama last option kwao jitahidi kama mwanaume/mwanamke linda HESHIMA YAKO na THAMANI YAKO
SawaKama kweli ukihitaji wakuheshimu basi ni lazima uwaoneshe kuwa una uwezo wa kuishi bila wao. Linda heshima yako kwa nguvu zako zote usikubali ivunjwe kirahisi umeitengeneza kwa muda mrefu kwa jasho na damu.
✔️✔️Kama Hujaambiwa > USIULIZE
Kama Hujaalikwa > USIENDE
Umealikwa muda umeenda >KATAA MUALIKO (maana haukuwa sehemu ya mipango yao wamefanya hivyo ili kukuridhisha na wewe ni kama last option kwao jitahidi kama mwanaume/mwanamke linda HESHIMA YAKO na THAMANI YAKO
Kama Hujaambiwa > USIULIZE
Kama Hujaalikwa > USIENDE
Umealikwa muda umeenda >KATAA MUALIKO (maana haukuwa sehemu ya mipango yao wamefanya hivyo ili kukuridhisha na wewe ni kama last option kwao jitahidi kama mwanaume/mwanamke linda HESHIMA YAKO na THAMANI YAKO
Kuna BUSARA ndani ya ukimya,kukaa kimya kuna linda Heshima kuliko kuonekana mjuaji Hasa wakati ambao unatakiwa kusikiliza wengine
✅️✅️✅️Kuna BUSARA ndani ya ukimya,kukaa kimya kuna linda Heshima kuliko kuonekana mjuaji Hasa wakati ambao unatakiwa kusikiliza wengine
SawaKulinda heshima ni bora kuliko kulinda Mali,linda heshima yako na ya watu wengine kivyovyote,utasalimika wewe na mali yako
📌📌Kulinda heshima ni bora kuliko kulinda Mali,linda heshima yako na ya watu wengine kivyovyote,utasalimika wewe na mali yako
AiseeKuna BUSARA ndani ya ukimya,kukaa kimya kuna linda Heshima kuliko kuonekana mjuaji Hasa wakati ambao unatakiwa kusikiliza wengine
Ukipata nafasi yakuwa bosi,kuwa na pesa usikubali jina lako libadilike usikubali kupewa heshima za kinafiki Linda sana identity yako ili ufe na heshima yako.Kamwe mafanikio yasikubadilishe