myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️Samehe haraka, amini taratibu, cheka kiasi, penda kweli halafu linda heshima yako
✔️✔️✔️Usipokeee hela ya mwanaume kama haumpendi na hauna malengo nae. Linda heshima yako.
SawaUsipokeee hela ya mwanaume kama haumpendi na hauna malengo nae. Linda heshima yako.
AiseeUsipokeee hela ya mwanaume kama haumpendi na hauna malengo nae. Linda heshima yako.
Samehe haraka, Amini taratibu, Penda kweli, Cheka sana alafu linda heshima yako.
Kamwe usikae kwenye meza ambayo heshima haipo,Linda heshima yako,kwa faida ya kizazi chako,
Ahadi ni deni..Si kwamba tu ahadi ni deni, bali ahadi ni heshima. Ukitimiza unalinda heshima, usipotimiza unajivua heshima." ~Togolani Mavura.
Heshima ndio utuKamwe usikae kwenye meza ambayo heshima haipo,Linda heshima yako,kwa faida ya kizazi chako,
Si kwamba tu ahadi ni deni, bali ahadi ni heshima. Ukitimiza unalinda heshima, usipotimiza unajivua heshima." ~Togolani Mavura.
📌📌Si kwamba tu ahadi ni deni, bali ahadi ni heshima. Ukitimiza unalinda heshima, usipotimiza unajivua heshima." ~Togolani Mavura.