Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jenga uaminifu na uishi daima.
Uaminifu ni mtaji. Jiaminishe.
Tunazijua stori nyingi za watu waliofanikiwa kwa kuonesha uaminifu tu.
Kosa vyote kwa jamii, lakini usionekane usie mwaminifu.