myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Penda kazi yako.
Fanya kazi inayokupa satisfaction moyoni.
Usifanye tu kazi alimradi maisha yaende.
Kwa kuanza unaweza kuanza na kazi ya ku-survive.
Ukijipata hakikisha unafanya unachopenda. Au basi penda unachofanya.
Hekima ya Kweli ni kutambua kwamba hujui sana. Busara ya kweli inatokana na unyenyekevu na kuelewa kuwa kuna mengi ya kujifunza
✔️✔️Hekima ya Kweli ni kutambua kwamba hujui sana. Busara ya kweli inatokana na unyenyekevu na kuelewa kuwa kuna mengi ya kujifunza
NakubalianaPenda kazi yako.
Fanya kazi inayokupa satisfaction moyoni.
Usifanye tu kazi alimradi maisha yaende.
Kwa kuanza unaweza kuanza na kazi ya ku-survive.
Ukijipata hakikisha unafanya unachopenda. Au basi penda unachofanya.
👍👍Daima tafuta kuanza enzi mpya ili kuwa na kitu cha kukimbiza maishani.
Ukiona jambo haliendi vile inafaa, jitafute na uanze enzi mpya.
Unakujaaa..Na mimi nionje utamu wa likes
✅️✅️✅️Daima tafuta kuanza enzi mpya ili kuwa na kitu cha kukimbiza maishani.
Ukiona jambo haliendi vile inafaa, jitafute na uanze enzi mpya.
Penda kazi yako.
Fanya kazi inayokupa satisfaction moyoni.
Usifanye tu kazi alimradi maisha yaende.
Kwa kuanza unaweza kuanza na kazi ya ku-survive.
Ukijipata hakikisha unafanya unachopenda. Au basi penda unachofanya.
📌📌Hekima ni uwezo wa kuona maajabu katika sehemu ambayo hakuna cha maana kinachowashangaza watu wengine
Sahihi kabisa hiliHekima ni uwezo wa kuona maajabu katika sehemu ambayo hakuna cha maana kinachowashangaza watu wengine
SawaHekima ni kujua nini unataka,na kwasababu gani unakitaka hicho kitu,na kuchagua muda gani wa kufanya kwa usahih
Wema siyo biashara hivyo unapomsaidia mtu usitegemee kulipwa.Kumbuka hili
SawaUsipende kutumia hisia kufanya maamuzi, Jitahidi sana Kutumia Akili. Maamuzi ya hisia mara nyingi Uleta majuto makubwa sana kwenye Maisha Yetu