myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaUsipende kutumia hisia kufanya maamuzi, Jitahidi sana Kutumia Akili. Maamuzi ya hisia mara nyingi Uleta majuto makubwa sana kwenye Maisha Yetu
SawasawaUsipende kutumia hisia kufanya maamuzi, Jitahidi sana Kutumia Akili. Maamuzi ya hisia mara nyingi Uleta majuto makubwa sana kwenye Maisha Yetu
Ni kweliKuna muda watu wakikwambia umebadilika, ujue wanamaanisha kwamba wewe sio mpumbavu tena yule waliekuwa wakimtegemea
SawasawaKuna muda watu wakikwambia umebadilika, ujue wanamaanisha kwamba wewe sio mpumbavu tena yule waliekuwa wakimtegemea
Wema siyo biashara hivyo unapomsaidia mtu usitegemee kulipwa.Kumbuka hili
Maamuzi mazuri huegemea maarifa na sio umri"
NakubalianaKutokana na makosa ya wengine mwenye hekima hujisahihisha
SawaMatumaini ni matumaini yanayotembea
🤣🤣Ukiwa na nyundo unaona kila tatizo kama msumari
AiseeKama unataka kutengeneza amani na adui yako, tengeneza nae urafiki kisha atakuwa rafiki yako".
Uaminifu ni ukurasa wa kwanza wa kitabu cha hekima".
👍👍👍Kama unataka kutengeneza amani na adui yako, tengeneza nae urafiki kisha atakuwa rafiki yako".
✅️✅️Inatupasa tutumie muda vizuri na siku zote tukumbuke ya kwamba muda huenda sahihi"
Nelson Mandela;"Elimu ni silaha yenye nguvu yenye uwezo wa kuibadilisha dunia."
😅😅😅Kwani like za nini hasa yaani mkuu
Nelson Mandela;"Elimu ni silaha yenye nguvu yenye uwezo wa kuibadilisha dunia."