Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Endelea kufurahia ushindi hata pale ambapo jina lako halikutajwa, endelea kupiga makofi hata pale ambapo jasho lako lilivuja lakini halikupewa thamani, kuna nyakati zitafika watu wasiposema kwa ajili yako basi hata Mawe yatasimama kuimba uwepo wako.