Leo jua litawaka sana, kesho mvua itanyesha sana, jana kiza kilitanda sana ila leo pamekucha na kupambazuka, ni kama maisha yalivyo utapitia changamoto na utapitia ushindi, utapitia dhiki na utapitia faraja, Mshindi kati yetu ni yule aliyeshikilia kamba ya KUJIAMINI, maisha ni mchezo wa nyakati na namna gani unazipokea ziwe mbaya ama nzuri”