Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Chanzo kingine cha unyonge, fadhaa na msongo wa mawazo katika maisha yetu ni kuwa na idadi kubwa ya watu wetu kwenye maisha na kushindwa kuzungumza mambo muhimu yanayotutatiza
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.