carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Niwatakie usiku mwema wote
Huyu jamaa alikuwa ni shida!I love that hahahaha
MKUU, salama lakini??
Acha kunichimba wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo anakimbilia kwa majirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe pia my dearMlale salama
Lala salama shemeji. Msalimie na mdogo wangu. Mungu Awalinde!Niwatakie usiku mwema wote
AMUN RANa awape furaha n faraja wote wenye matatizo
amenMungu awaponye wagonjwa wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeacha mbona nilikua nauliza tu nieleweAcha kunichimba wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo mkuu. Sema. Nimekukumbusha mbali eeh?MKUU, salama lakini??
AminLala salama shemeji. Msalimie na mdogo wangu. Mungu Awalinde!
Amen. Na hapo ndipo ninapokupendea shemeji. Uko tofauti sana!Na awape furaha n faraja wote wenye matatizo
Hahahaha[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️![]()
Cole hayuko hapo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiku mwema Cole
heheh ugonjwa wangu wa miaka mingi sana huo.Nipo mkuu. Sema. Nimekukumbusha mbali eeh?