Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nyakati Ngumu hazidumu, hili nalo litapita. Utarejea ukiwa Imara Sana
Sawasawa. Tumshukuru Mungu kwa uzima na afya
2. Kila jambo linawezekana
3. Tuendelee na mapambano wakuu
4. Umri tulionao ni kutafuta Mungu na pesa.
5. Ishi na kila mtu vizuri
6. Uwe na nidhamu na uaminifu
✔️✔️Hakuna anayekujali sana, isipokuwa uwe mzuri, tajiri, una cheo, maarufu, au marehemu
✔️✔️Binadamu wote tunayatamani mafanikio, Tofauti ni kwamba wote hatuwezi kuyaishi hayo maisha ya mafanikio
. Tumshukuru Mungu kwa uzima na afya
2. Kila jambo linawezekana
3. Tuendelee na mapambano wakuu
4. Umri tulionao ni kutafuta Mungu na pesa.
5. Ishi na kila mtu vizuri
6. Uwe na nidhamu na uaminifu
🙏🤲Kwenye maombi ya kila siku muombe Mungu akupe mwisho mwema
✔️✔️Kwenye maombi ya kila siku muombe Mungu akupe mwisho mwema
🤲🙏Kwenye maombi ya kila siku muombe Mungu akupe mwisho mwema