myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
. Tumshukuru Mungu kwa uzima na afya
2. Kila jambo linawezekana
3. Tuendelee na mapambano wakuu
4. Umri tulionao ni kutafuta Mungu na pesa.
5. Ishi na kila mtu vizuri
6. Uwe na nidhamu na uaminifu
Kwenye maombi ya kila siku muombe Mungu akupe mwisho mwema
📌📌Wakati ambao unaona umechoka unataka kukata tamaa, basi huo ndio wakati ambao umeukalibia kufanikiwa.
✔️✔️✔️Wakati ambao unaona umechoka unataka kukata tamaa, basi huo ndio wakati ambao umeukalibia kufanikiwa.
📌📌Binadamu wote tunayatamani mafanikio, Tofauti ni kwamba wote hatuwezi kuyaishi hayo maisha ya mafanikio
omba vyote ila hakuna kitu muhimu kama afya na utajua umuhimu pindi ukiipoteza
✔️✔️Ipo siku tutaishi maisha mazuri tu, hata hizi siku mbaya tunazozipitia kwa sasa hatutazikumbuka tena.
✔️✔️omba vyote ila hakuna kitu muhimu kama afya na utajua umuhimu pindi ukiipoteza
Ipo siku tutaishi maisha mazuri tu, hata hizi siku mbaya tunazozipitia kwa sasa hatutazikumbuka tena.
omba vyote ila hakuna kitu muhimu kama afya na utajua umuhimu pindi ukiipoteza
✔️✔️Ndoto zako ni halali hata kama mazingira yako hayana dalili ya mafanikio
✔️✔️✔️Ndoto zako ni halali hata kama mazingira yako hayana dalili ya mafanikio
👍👍Kufanikiwa Siyo Bahati Ni Juhudi Binafsi
Ikawe siku ya baraka na mafanikio kwenye utafutaji wako.
SawaWaheshimu sana na uwasikilize sana ila hakikisha wasikupangie jinsi ya kuishi
👍👍👍Waheshimu sana na uwasikilize sana ila hakikisha wasikupangie jinsi ya kuishi
👍👍Hakuna zawadi nzuri utaipata kwingine kama UHAI na AFYA njema inayotoka kwa Mungu
📌📌📌Hakuna zawadi nzuri utaipata kwingine kama UHAI na AFYA njema inayotoka kwa Mungu