AMUN RAMkilala nyote ndoto njema
Usijali sana.Majukumu ndio maisha yetuHaahahaha....ah kutokatoka huku napitwa....
Lakini cha olevel kifyagio unacho?Mkuu hizi hesabu zilinifanya nifeli GS[emoji23] [emoji23] [emoji23] huku una hangaika organic chemistry ukigeuka upande wapili kuna Projectile, magnetism, n.k[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
ayo mavitu pasua kichwaVipi mkuu, mbona unafumba macho?
Support muhimu kwenye mitihani kama hiiHahahaha
ww piaMkilala nyote ndoto njema
Ndio chanzo cha mimi kuanza kunywa ulanzi Mkwawa High School[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23],hesabu mbili tu unaanza nazo alhamis hadi jumapili bado majibu si sahihi na ya kwenye kitabu.Hapo uniforms haujafua wala haujanyoa achana na kuoga[emoji23] [emoji23] [emoji23]huwa yanaaribu kabisa mood ya mtiani
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Nawaona tu...uniq hana ujanja, kelele zooote kwangu lakini kwa mchina kimyaaa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah...siri ipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha tuuNdio chanzo cha mimi kuanza kunywa ulanzi Mkwawa High School[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23],hesabu mbili tu unaanza nazo alhamis hadi jumapili bado majibu si sahihi na ya kwenye kitabu.Hapo uniforms haujafua wala haujanyoa achana na kuoga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
shukrani sanaKaribuni dona kwa mlenda uliochanganywa na mdalasini ni mtamu sijaona
Mkuu GS kipindi chetu madhara yake ilikuwa ni kukushusha daraja tu,kutoka div 1 au div2 kwenda div 3.Na chuo kikuu tuliendaLakini cha olevel kifyagio unacho?
Ati nini? Kuna senene?Karibuni dona kwa mlenda uliochanganywa na mdalasini ni mtamu sijaona
PCM ama?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha tuu
kichwa kidogo kibust
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wazungu walitutesa kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha tuu
kichwa kidogo kibust
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Muarobaini huo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]PCM ama?
Wangekuwa wanatuambia faida yake ingekuwa inasaidia sana. Mimi nilikuwa nafikiri pengine ni gemu fulani hivi kumbe ndiyo siri zote za uumbaji zimefichwa humo. Dah!ayo mavitu pasua kichwa
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
PCM na PCB wapi kuna uahueni kidogo?Muarobaini huo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
huyu aliyeanza kuuza karanga?Wanaosubiri Diamond ashuke watasubiri sana asee.Inabidi wamfuate tu juu kiroho safi.
[HASHTAG]#ENEKA[/HASHTAG]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app