Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wangeweza kustreamline kidogo ingesaidia. Yawe targeted zaidi kama ambavyo wazungu wameanza kufanya. Wanafuta ma- algebra na mengineyo kwa wanafunzi ambao major zao hazitayahitaji. Kama ndoto yako ni kuwa software engineer wanakufundisha hesabu ambazo ziko targetted. Engineering hali kadhalika. Artificial intelligence, Bio Technology...Siyo kusoma tu majitu ambayo wala hutayahitaji huko mbele ya safari haijalishi kama yana faida za juu juu...
Hakika, mimi ni mmojawapo niliebeba mzigo mzito wa hesabu advanced level, chuo nimesoma Account. Uzito wote wa PCM umeishia pale,nimeondoka na Basic maths tu.Mwanafunzi aulizwe o level anataka kusomea nini ili akienda a-level ajengwe kwa misingi ya anacho kitaka kusomea chuo.
 
Back
Top Bottom