Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakika, mimi ni mmojawapo niliebeba mzigo mzito wa hesabu advanced level, chuo nimesoma Account. Uzito wote wa PCM umeishia pale,nimeondoka na Basic maths tu.Mwanafunzi aulizwe o level anataka kusomea nini ili akienda a-level ajengwe kwa misingi ya anacho kitaka kusomea chuo.
Kule Skandinavia nasikia wanataka kufuta mpaka na mitihani kabisa. Mtu unasoma weee majitu ambayo kusema kweli hayana faida kwako...
 
Back
Top Bottom