myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeUsione haya kuanza chini, maana hata miti mikubwa ilianza kama mbegu, kesho inaweza kuwa bora zaidi, mradi tu usimamishe juhudi zako leo"-1TOMMPANTHER
Fanya kila siku kuwa mwanzo mpya, usiruhusu yaliyopita yakuzuie kutoka kufikia malengo yako. Ibada ni siku ya kushukuru kwa kile ulichopata na kujipanga kwa mafanikio yajayo.
👍👍Usione haya kuanza chini, maana hata miti mikubwa ilianza kama mbegu, kesho inaweza kuwa bora zaidi, mradi tu usimamishe juhudi zako leo"-1TOMMPANTHER
Jiamini, ndoto zako zinaweza kuwa halisi kama ukichukua hatua ya kwanza huwezi kufanikisha ndoto kubwa kwa mawazo madogo kuwa tayari kupambana"--Ruge mutahaba
Hakuna anayekujali sana, isipokuwa uwe mzuri, tajiri, una cheo, maarufu, au marehemu
Nyakati Ngumu hazidumu, hili nalo litapita. Utarejea ukiwa Imara Sana
✔️✔️✔️Hakuna anayekujali sana, isipokuwa uwe mzuri, tajiri, una cheo, maarufu, au marehemu
Heshima haina gharama jaribu kutengeneza Kwa Kila unaekutana nae kwenye maisha yako
Heshima haina gharama jaribu kutengeneza Kwa Kila unaekutana nae kwenye maisha yako
✅️✅️Heshima haina gharama jaribu kutengeneza Kwa Kila unaekutana nae kwenye maisha yako