Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Pokea likes usukumizie na mlenda wako. Na wewe ukumbuke kutugawia likes zako nasi tuzione [emoji23][emoji23][emoji23]Karibuni dona kwa mlenda uliochanganywa na mdalasini ni mtamu sijaona
The most important info is missing !!!Friends I would like to take this opportunity to welcome all of you at my homeplace tomorrow 15 July!
There will be a great function dears Warmly welcome!
Hakuna mchango jamani its only you
Hahahah..Huyo kelele za chura
wafanye changes tuu coz cjui ata yanasaidia nn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wazungu walitutesa kwa kweli
What's that friend???The most important info is missing !!!
Mkuu naona ahueni ni PCM,wengine hatuwezi kujisomea zaidi ya nusu saa bila kutaniana na kucheka .Masomo ya kujinunisha siyawezi kwa sababu siwezi kukaa peke yangu bila mtu wa kutaniana nayePCM na PCB wapi kuna uahueni kidogo?
Kichwa kinafunguka sana,hesabu ni applicable kwa muda wote wa maisha yako ya kila siku.wafanye changes tuu coz cjui ata yanasaidia nn
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Ndiyo hapo sasa. Na huo ndo ugomvi wangu mkuu. Kwa nini mtu lazima ujue haya madude? Ni kupanua analytical ability? Ni nini?wafanye changes tuu coz cjui ata yanasaidia nn
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Place and time [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]What's that friend???
Ucharaze!Usingizi duh!
Achana nao,unakupotezea muda wa kuchat [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usingizi duh!
Wangeweza kustreamline kidogo ingesaidia. Yawe targeted zaidi kama ambavyo wazungu wameanza kufanya. Wanafuta ma- algebra na mengineyo kwa wanafunzi ambao major zao hazitayahitaji. Kama ndoto yako ni kuwa software engineer wanakufundisha hesabu ambazo ziko targetted. Engineering hali kadhalika. Artificial intelligence, Bio Technology...Siyo kusoma tu majitu ambayo wala hutayahitaji huko mbele ya safari haijalishi kama yana faida za juu juu...Kichwa kinafunguka sana,hesabu ni applicable kwa muda wote wa maisha yako ya kila siku.