Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ukikosa uaminifu humkomoi mtu,bali unakomoa afya yako ya akili na mwili wako.. Hivyo Uaminifu ni kinga ya mwili na akili hivyo uvae ukuvae.
Uongo mdogo tu unaweza ukavunja uaminifu mkubwa; Kuwa makini.
Watu wanapovunja uaminifu kwako usijione mjinga kwa kuwa uliwaamini. Hukufanya kosa lolote wao tu ni watu wasioaminika.
Sio kila Mtu Anayesali Ni Mwema,Na sio Kila Mtu Anayesali Ni Mbaya.Dunia ina Unafiki Mwingi Sanaa
Sio kila Mtu Anayesali Ni Mwema,Na sio Kila Mtu Anayesali Ni Mbaya.Dunia ina Unafiki Mwingi Sanaa