Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hakuna mafanikio yasiyokuwa na changamoto, Mungu akitaka kukuvusha kutoka sehemu moja kwenda nyengine lazima akupitishe katika majaribu, Jipe moyo na muombe Mungu kwa imani na bidii kubwa nae hato kuacha daimaa.