Hakuna mafanikio yasiyokuwa na changamoto, Mungu akitaka kukuvusha kutoka sehemu moja kwenda nyengine lazima akupitishe katika majaribu, Jipe moyo na muombe Mungu kwa imani na bidii kubwa nae hato kuacha daimaa.

Kutafuta Msaada Unapouhitaji ;Usisite kutafuta msaada kutoka kwa wataalamu wa afya ya akili kama vile wanasaikolojia. Zungumza na watu unaowaamini unapopitia changamoto kubwa na jiunge na vikundi vya usaidizi au jamii zinazotoa faraja na msaada

Kujifunza Kukubali na Kuachilia ; Usihangaike na mambo ambayo hayawezi kubadilika. Jifunze kusamehe ili usibebe mzigo wa hasira na chuki. Kubali kuwa si kila kitu kitakwenda kama ulivyopanga, na hilo ni sawa.

Kufanya Kitu Unachokipenda ; Jihusishe na shughuli unazofurahia kama muziki, kusoma, au michezo. Jifunze ujuzi mpya ili kukabiliana na changamoto za maisha na tumia muda wa kutosha kwa burudani na mapumziko.