myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️✅️
Kudhibiti Msongo wa Mawazo ; Tumia mbinu kama mazoezi ya kupumua, kutafakari (meditation), na mazoezi ya mwili. Panga muda wako vizuri ili kuepuka msongo wa kazi nyingi na jifunze kusema "hapana" kwa mambo yanayokulemea.