myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jipe Moyo Hupapaswi Kuyaogopa Yajayo Hata Yawe Magumu Na Ya Kutisha Kiasi Gani Bali Yakupasa Kuyaandaa”Hii Ni Kanuni Ya Dunia Inakutaka Uwe Tayari Kwa Wakati Unaofaa Na Wakati Usifaa”Hivyo Kuogopa Ni Kuvunja Kanuni
Nafasi mpya ya ukuaji, matumaini, na mafanikio. Jipe moyo na nguvu za kuanza upya, kufikia malengo yako, na kuzidi kuwa bora kuliko jana. Chukua hatua, jiamini, na kumbuka kila siku ni nafasi mpya ya kuandika historia yako. Mwezi huu mpya uwe wa furaha, afya njema, na baraka

SawaInachukua miezi Tisa kuzaliwa lakini inachukua sekunde tu kufa,kifo ni chepesi kuliko uhai Linda afya yako tenga muda wa kumshukuru Mungu wako kila siku kwa zawadi ya uhai
✔️✔️✔️Tabia Yako Ni Daraja Linalo Kupeleka Kwenye Mafanikio Au Shimo Linalo Kurudisha Nyuma
👍👍👍Tabia Yako Ni Daraja Linalo Kupeleka Kwenye Mafanikio Au Shimo Linalo Kurudisha Nyuma
Inachukua miezi Tisa kuzaliwa lakini inachukua sekunde tu kufa,kifo ni chepesi kuliko uhai Linda afya yako tenga muda wa kumshukuru Mungu wako kila siku kwa zawadi ya uhai
Ukikiheshimu sana kitu hakikisha hukisogelei na ukikisogelea hakikisha haukizoei. Mazoea yana tabia ya kufanya vitu visivyo vya kawaida kuonekana kawaida. Na kitu kikishakuwa cha kawaida sana mbele zako kinakosa thamani. Hakikisha unaviheshimu vitu vyako vya heshima vikiwa mbali
👍👍👍Ukishajua kila kitu kinaenda na riski basi utaacha kulalamika ovyo, kilicho chako kitabaki kua chako na kisicho chako kamwe hakiwezi kua chako
👍👍Ukikiheshimu sana kitu hakikisha hukisogelei na ukikisogelea hakikisha haukizoei. Mazoea yana tabia ya kufanya vitu visivyo vya kawaida kuonekana kawaida. Na kitu kikishakuwa cha kawaida sana mbele zako kinakosa thamani. Hakikisha unaviheshimu vitu vyako vya heshima vikiwa mbali
✔️✔️Ukishajua kila kitu kinaenda na riski basi utaacha kulalamika ovyo, kilicho chako kitabaki kua chako na kisicho chako kamwe hakiwezi kua chako
SawaJitahidi Sana Kuishi Na Watu Vizuri Kwani Kuna Muda Heshima Na Nidhamu Vinaweza Kukupeleka Sehemu Ambayo Bidii Haiwezi Kukufikisha!
SawasawaKuogopa mabadiliko kunakufanya usisonge mbele.
SawasawaKuishi katika kumbukumbu za zamani kunazuia ukuaji wako.
✅️✅️✅️Ukweli unauma lakini uongo unaharibu na unaweza kusambaratisha kila kitu pale ukweli utakapobainika.
✔️✔️✔️Jitahidi Sana Kuishi Na Watu Vizuri Kwani Kuna Muda Heshima Na Nidhamu Vinaweza Kukupeleka Sehemu Ambayo Bidii Haiwezi Kukufikisha!
✅️✅️Watu wengi hawataki kujifunza namna ya kutengeneza pesa wanataka kuomba tuu pesa.
👍👍👍Watu wengi hawataki kujifunza namna ya kutengeneza pesa wanataka kuomba tuu pesa.