Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SawasawaSilaha kubwa ya mafanikio ni kuishi na watu vizuri
✔️ ✔️Mara nyingine kwenye maisha Dharau. Kejeli. Maneno na Misuto ni vitu vya kawaida kabisa kwenye safari yako ya mafanikio. Tena usipo kutana navyo basi safari yako inashida. Ukianza kupambana navyo unajichelewesha