Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Haya maisha ya kusaka mafanikio yetu, Utambue kabisa hii ni vita kama vita zingine,
Usiache kusali Kila siku.
Usiache kusali Kila siku.
SahihiHaya maisha ya kusaka mafanikio yetu, Utambue kabisa hii ni vita kama vita zingine,
Usiache kusali Kila siku.
👍👍Kwenye kutafuta mafanikio kulala sana sio tatizo, Kama unakijua unachokifanya pindi ukiwa Macho
NakubaliKwenye kutafuta mafanikio kulala sana sio tatizo, Kama unakijua unachokifanya pindi ukiwa Macho
SawaKwenye kutafuta mafanikio kulala sana sio tatizo, Kama unakijua unachokifanya pindi ukiwa Macho
👍👍Mafanikio ni kufikia malengo yako, Sio kuiga malengo ya watu wengine, Usijipime na mtu kwenye haya maisha kila mtu ananjia zake za kufika kwenye Mafanikio Yake.
✅✅Presha Ya Mafanikio isikufanye Uone Kila Mtu Ni Mpinzani wako
✅✅Presha Ya Mafanikio isikufanye Uone Kila Mtu Ni Mpinzani wako
✅✅✅Mafanikio ni kufikia malengo yako, Sio kuiga malengo ya watu wengine, Usijipime na mtu kwenye haya maisha kila mtu ananjia zake za kufika kwenye Mafanikio Yake.