myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππSilaha kubwa ya mafanikio ni kuishi na watu vizuri
β βMara nyingine kwenye maisha Dharau. Kejeli. Maneno na Misuto ni vitu vya kawaida kabisa kwenye safari yako ya mafanikio. Tena usipo kutana navyo basi safari yako inashida. Ukianza kupambana navyo unajichelewesha
πͺπͺJumatatu ni mwanzo mpyaβshika hatamu, fanya kazi kwa bidii, na usiruhusu uzito wa wiki iliyopita kukuzuia. Mafanikio huanza na hatua ya kwanza
β βMara nyingine kwenye maisha Dharau. Kejeli. Maneno na Misuto ni vitu vya kawaida kabisa kwenye safari yako ya mafanikio. Tena usipo kutana navyo basi safari yako inashida. Ukianza kupambana navyo unajichelewesha
π πMafanikio sio ufunguo wa furaha.
Furaha ndio ufunguo wa mafanikio.
Ukipenda unachofanya, utafanikiwa
ππUsiogope kushindwa, kwani kushindwa ni sehemu ya kujifunza. Kila changamoto unayopitia ni daraja la kukufikisha kwenye mafanikio. Endelea kusonga mbele, jifunze, na usikate tamaa
SafiiMaisha ni mwangwi wa juhudi zetu, na mafanikio ni matokeo ya uthabiti wetu. Kama maji yanavyoutoboa mwamba kwa uvumilivu, vivyo hivyo nidhamu na juhudi thabiti huleta matokeo yasiyopingika
βοΈβοΈMafanikio ni kufikia malengo yako, Sio kuiga malengo ya watu wengine, Usijipime na mtu kwenye haya maisha kila mtu ananjia zake za kufika kwenye Mafanikio Yake.
β β βMaisha ni mwangwi wa juhudi zetu, na mafanikio ni matokeo ya uthabiti wetu. Kama maji yanavyoutoboa mwamba kwa uvumilivu, vivyo hivyo nidhamu na juhudi thabiti huleta matokeo yasiyopingika
SawasawaMaisha ni mwangwi wa juhudi zetu, na mafanikio ni matokeo ya uthabiti wetu. Kama maji yanavyoutoboa mwamba kwa uvumilivu, vivyo hivyo nidhamu na juhudi thabiti huleta matokeo yasiyopingika
βοΈβοΈUsiogope kushindwa, kwani kushindwa ni sehemu ya kujifunza. Kila changamoto unayopitia ni daraja la kukufikisha kwenye mafanikio. Endelea kusonga mbele, jifunze, na usikate tamaa