myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️Jumatatu ni mwanzo mpya—shika hatamu, fanya kazi kwa bidii, na usiruhusu uzito wa wiki iliyopita kukuzuia. Mafanikio huanza na hatua ya kwanza!
AminMwenyezi Mungu akujalie amani, furaha, na baraka tele katika siku hii. Kila hatua unayochukua iwe yenye mafanikio na moyo wako ujazwe na upendo na matumaini. Pumzika, tafakari, na jiandae kwa wiki yenye neema!”
✅️✅️✅️Mafanikio ya kweli hayapimwi kwa mali au hadhi, bali kwa uaminifu wako kwa misingi ya haki, ukweli, na utu hata pale ambapo dunia inakushawishi kuyakataa..
✔️✔️✔️Mwenyezi Mungu akujalie amani, furaha, na baraka tele katika siku hii. Kila hatua unayochukua iwe yenye mafanikio na moyo wako ujazwe na upendo na matumaini. Pumzika, tafakari, na jiandae kwa wiki yenye neema!”
👍👍👍Mafanikio ya kweli hayapimwi kwa mali au hadhi, bali kwa uaminifu wako kwa misingi ya haki, ukweli, na utu hata pale ambapo dunia inakushawishi kuyakataa..
Ukiwa na roho mbaya, Furaha na mafanikio ya wenzako vitakutesa sana
Kufanikiwa sio kuwa na hela tu, Hata kujitambua wewe ni nani, unatakiwa kufanya nini, unamarafiki wa aina gani, mnakaa maeneo gani na kwa muda gani,Hayo ni Mafanikio makubwa sana
SawasawaHaya maisha ya kusaka mafanikio yetu, Utambue kabisa hii ni vita kama vita zingine,
Usiache kusali Kila siku.
SawasawaMafanikio Madogo Yasikufanye Uone Ambao Hawajafanikiwa Ni Wazembe Kumbuka Mtu Sio Nyau
✅️✅️✅️Kitu chochote ambacho unaona hakiwezi kukupa manufaa katika maisha yako, achana nacho, fanya kile ambacho kinaweza tu kukupa mafanikio."
Kumsaidia mtu hakumaanishi kuwa lazima uwe mstari wa mbele. Inamaanisha kuwa hapo kwa utulivu, ukimshangilia na kusherehekea mafanikio yake kana kwamba ni yako mwenyewe.
Huo ndio upendo na heshima tunayostahili sote.
NakubalianaMafanikio Madogo Yasikufanye Uone Ambao Hawajafanikiwa Ni Wazembe Kumbuka Mtu Sio Nyau
✔️✔️Kitu chochote ambacho unaona hakiwezi kukupa manufaa katika maisha yako, achana nacho, fanya kile ambacho kinaweza tu kukupa mafanikio."
Usikate tamaa sababu unatoka familia duni na hauna Connection. MUNGU anasema ijapokuwa Mwanzo wako ni mdogo lakini Mwisho wako utakuwa wa MAFANIKIO makubwa sana. Endelea kupambana tena moyo wako usukumwe na ndoto kubwa daima.
Usikate tamaa sababu unatoka familia duni na hauna Connection. MUNGU anasema ijapokuwa Mwanzo wako ni mdogo lakini Mwisho wako utakuwa wa MAFANIKIO makubwa sana. Endelea kupambana tena moyo wako usukumwe na ndoto kubwa daima.
Usikate tamaa sababu unatoka familia duni na hauna Connection. MUNGU anasema ijapokuwa Mwanzo wako ni mdogo lakini Mwisho wako utakuwa wa MAFANIKIO makubwa sana. Endelea kupambana tena moyo wako usukumwe na ndoto kubwa daima.
🙏🙏Usikate tamaa sababu unatoka familia duni na hauna Connection. MUNGU anasema ijapokuwa Mwanzo wako ni mdogo lakini Mwisho wako utakuwa wa MAFANIKIO makubwa sana. Endelea kupambana tena moyo wako usukumwe na ndoto kubwa daima.
✔️✔️✔️Tabia yako ni daraja linalo kupeleka kwenye mafanikio au shimo linalo kurudisha nyuma.
Kitu chochote ambacho unaona hakiwezi kukupa manufaa katika maisha yako, achana nacho, fanya kile ambacho kinaweza tu kukupa mafanikio."
Tabia yako ni daraja linalo kupeleka kwenye mafanikio au shimo linalo kurudisha nyuma.