myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SafiiiiiKuna hii Tabia ya mtu kukufanya ujisikie Duni kwa kuwa tu Historia yako ya maisha haikunyooka kama zao, pigania kile unachokiamini kama hujapata mafanikio sasa ila una imani na Juhudi zako basi usikate Tamaa
✔️✔️✔️Jamii hunawiri na tabasamu linatawala pale ambapo kuna amani katika mitaa yetu. Kumbuka, amani huanza na wewe
📌📌📌Jamii hunawiri na tabasamu linatawala pale ambapo kuna amani katika mitaa yetu. Kumbuka, amani huanza na wewe