Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukitaka kuishi vizuri hapa duniani, wewe onyesha kuwatambua watu, jali hisia zao, heshimu imani zao, hifadhi aibu zao, linda faragha zao na epuka kukanyaga rizki zao. Kisha ongeza matumizi ya maneno samahani na shukrani katika kauli zako. Ni mambo madogo yenye matokeo makubwa
 
Katika harakati za kusaka pesa, mali na kutambulika katika jamii epuka kupoteza afya ya mwili, afya ya akili, na mahusiano na watu (support system). Ukivipoteza hivi vitatu, hutavifurahia na kuona thamani ya vile vya vitatu vya kwanza." ~Togolani Mavura.
 
Back
Top Bottom