Ukitaka kuishi vizuri hapa duniani, wewe onyesha kuwatambua watu, jali hisia zao, heshimu imani zao, hifadhi aibu zao, linda faragha zao na epuka kukanyaga rizki zao. Kisha ongeza matumizi ya maneno samahani na shukrani katika kauli zako. Ni mambo madogo yenye matokeo makubwa