Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mwenyezi Mungu kamuumba kila mtu, kila muonekano, kila umbile na kila tabia na watu wa aina yake. Tatizo ni pale tunapolazimisha kuvutia na kupendwa na wale wasio wa aina yetu." ~Togolani Mavura.
Ukiwa na taarifa chache, epuka kuwa na maoni mengi."
Wakati mwingine msimu wa neema unaweza usiufikie au ukachelewa sana ukakukuta moyo wako umejeruhiwa kiasi cha kutoifaidi neema yako. Usisimamishe kuishi ukisubiri yajayo ambayo huna miadi nayo. Ishi wakati ukisubiri na subiri ukiwa unaishi." ~Togolani Mavura.
Zawadi kubwa katika uhusiano wowote ule ni uaminifu na kuheshimiana." ~Togolani Mavura.
Mwenyezi Mungu kamuumba kila mtu, kila muonekano, kila umbile na kila tabia na watu wa aina yake. Tatizo ni pale tunapolazimisha kuvutia na kupendwa na wale wasio wa aina yetu." ~Togolani Mavura.
Zawadi kubwa katika uhusiano wowote ule ni uaminifu na kuheshimiana." ~Togolani Mavura.
✔️✔️✔️Si kila aliye katika maisha yako amefika, wengine wameegesha tu kwako wakisubiri majibu ya maombi yao kule kwingine walipotegeshea ndoto za maisha yao yajibiwe waende." ~Togolani Mavura.
Usikubali hali na mazingira unayopitia yaue ndoto yako."
SafiiiiiMara nyingi jambo lako linashindwa kutokea kutokana na kuanika wazi mipango yako kwa maadui zako." ~Togolani Mavura.
✔️✔️Mara nyingi jambo lako linashindwa kutokea kutokana na kuanika wazi mipango yako kwa maadui zako." ~Togolani Mavura.
Si kila aliye katika maisha yako amefika, wengine wameegesha tu kwako wakisubiri majibu ya maombi yao kule kwingine walipotegeshea ndoto za maisha yao yajibiwe waende." ~Togolani Mavura.