moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Maisha ni safari isiyotabirika, siku moja uko juu, siku nyingine uko chini. Usikate tamaa bro kwa vikwazo unavyopitia leo, kwani huenda vinakuandaa kwa kesho yenye mafanikio makubwa. Endelea kusonga, jifunze, na usiache kuamini kwamba kesho inaweza kuwa bora zaidi.
SawaChangamoto unazopita wakati huu zifanye kama daraja la kufikia mafanikio
Changamoto unazopita wakati huu zifanye kama daraja la kufikia mafanikio
Maisha ni safari isiyotabirika, siku moja uko juu, siku nyingine uko chini. Usikate tamaa bro kwa vikwazo unavyopitia leo, kwani huenda vinakuandaa kwa kesho yenye mafanikio makubwa. Endelea kusonga, jifunze, na usiache kuamini kwamba kesho inaweza kuwa bora zaidi
Nguvu ya Mafanikio Haipo Katika Kushinda kila mara, Bali katika kutokata tamaa unaposhindwa
Mafanikio hayaji kirahisi kama unavyofikiria.

Usikate tamaa leo, kesho inaweza kuwa mwanzo wa mabadiliko.

✅️✅️Changamoto unazopita wakati huu zifanye kama daraja la kufikia mafanikio
Hata wakati mgumu, kumbuka kuwa nguvu yako iko ndani yako."