Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukitaka kuishi vizuri hapa duniani, wewe onyesha kuwatambua watu, jali hisia zao, heshimu imani zao, hifadhi aibu zao, linda faragha zao na epuka kukanyaga rizki zao. Kisha ongeza matumizi ya maneno samahani na shukrani katika kauli zako. Ni mambo madogo yenye matokeo makubwa
Nakubaliana
 
Sawa

Ukichelewa kuamua, utaamuliwa maana maamuzi mengine ya wengine nayo hayawezi kusimama kusubiri maamuzi yako hadi hapo utakapojisikia. Tambua katika maisha, uhuru wa maamuzi yako unaishia pale maamuzi ya wengine yanapoanzia. Epuka kutengeneza foleni ya maamuzi. Amua kwa wakati!"
Sawasawa
 
Sawasawa ✔️
 
Maisha ni safari isiyotabirika, siku moja uko juu, siku nyingine uko chini. Usikate tamaa bro kwa vikwazo unavyopitia leo, kwani huenda vinakuandaa kwa kesho yenye mafanikio makubwa. Endelea kusonga, jifunze, na usiache kuamini kwamba kesho inaweza kuwa bora zaidi.
 
Maisha ni safari isiyotabirika, siku moja uko juu, siku nyingine uko chini. Usikate tamaa bro kwa vikwazo unavyopitia leo, kwani huenda vinakuandaa kwa kesho yenye mafanikio makubwa. Endelea kusonga, jifunze, na usiache kuamini kwamba kesho inaweza kuwa bora zaidi
 
Back
Top Bottom