Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Furaha ya kweli inatoka ndani yako. Jifunze kujithamini, kujipenda, na kutafuta furaha katika mambo madogo ya kila siku.
Duh aiseeAcha kudhani watu wana hasira na wewe, acha kutaka kujaribu kusoma mawazo ya watu. Acha kujaribu kudhibiti mawazo na hisia za wengine. Acha watu wajisimamie wenyewe. Ikiwa wana kitu cha kukuambia watakuambia ,ni jukumu lao sio lako. Kufikiria kupita kiasi kunaiua furaha yako