myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
MUHIMU
Maisha ya kuombaomba, kuazima na kukopa hovyo sio tu yanakuaibisha bali yanaua nguvu ya maneno yako. Chochote usemacho wanajiambia ila amezidi kuombaomba. Sometimes hii tabia sio kwamba mtu hana ila ni hulka iliyo jengwa ika athiri fikra na kutengeneza tabia sugu