Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Debe tupu hupiga kelele sana. Aliyesema elimu ni ufunguo wa maisha aliona mbali sana. Bila elimu utabaki kuwa kama debe tupu. Kila upatapo nafasi na fursa ya kuelimika, husiichezee. Ukitaka kujua tofauti ya mtu mwenye elimu na asiye na elimu, TIZAMA KELELE ZAKE"