Maisha ni mchakato wenye sura mbili, furaha na huzuni. Chochote kikufikacho na mchakato kichukulie kuwa Baraka kwako. Kuwa imara na wakati mwingine jiweke katika hali ya kuwa uko sawa. Kumbuka, kuta imara hutikisika, ila hazivunjiki na kuanguka. Wewe in IMARA, SIMAMA