myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Moyo Wako Ukiwa Safi Huongea. Huna Haja ya Kupoteza Bahati Zako Kwa Kuwachukia Wenzio, Kuwa na Moyo Safi UFANIKIWE"
Mwanadamu aweza kuwa mnyama kwa mwanadamu mwenziwe. Katika maisha, kuna watu ukikutana nao, ndio unaelewa ni kwa nini Nuhu aliamua kuchukuwa wanyama kwenye Safina na kuwaacha wanadamu"
SafiiiiiFuraha ya mwenzio haipunguzi Furaha Yako. Kufanikiwa kwa mwenzio sio sababu ya wewe kufeli"
✔️✔️✔️Kuwa kama mshumaa. Unateketea kwa ajili ya kuwaangazia wengine
✅️✅️Furaha ya mwenzio haipunguzi Furaha Yako. Kufanikiwa kwa mwenzio sio sababu ya wewe kufeli"
✔️✔️✔️Kuwa kama mshumaa. Unateketea kwa ajili ya kuwaangazia wengine
Mwanadamu aweza kuwa mnyama kwa mwanadamu mwenziwe. Katika maisha, kuna watu ukikutana nao, ndio unaelewa ni kwa nini Nuhu aliamua kuchukuwa wanyama kwenye Safina na kuwaacha wanadamu"
✅️✅️✅️Matatizo ni fursa ya kufanya kilicho bora zaidi.
✅️✅️✅️Mwanadamu aweza kuwa mnyama kwa mwanadamu mwenziwe. Katika maisha, kuna watu ukikutana nao, ndio unaelewa ni kwa nini Nuhu aliamua kuchukuwa wanyama kwenye Safina na kuwaacha wanadamu"
✅️✅️✅️Mwanadamu aweza kuwa mnyama kwa mwanadamu mwenziwe. Katika maisha, kuna watu ukikutana nao, ndio unaelewa ni kwa nini Nuhu aliamua kuchukuwa wanyama kwenye Safina na kuwaacha wanadamu"
✅️✅️✅️Furaha ya mwenzio haipunguzi Furaha Yako. Kufanikiwa kwa mwenzio sio sababu ya wewe kufeli"
✅️✅️✅️Sio kila shari ni shari. Shari zingine zimeletwa kutusafishia njia. Kumbuka, likuepukalo lina kheri na wewe"
✔️✔️✔️Furaha ya mwenzio haipunguzi Furaha Yako. Kufanikiwa kwa mwenzio sio sababu ya wewe kufeli"
📌📌📌Hata uzungukwe na watu wabaya kiasi gani, kamwe husichoke kuwa mwema. Mwisho wa siku, nao watakufuata na kuwa wema. Jifunze kuishi na watu wenye nia mbaya na wewe. Tabasamu lako kwao ni msiba"
✅️✅️✅️epuka kufuatilia maisha ya watu wengine, bali zingatia maisha yako na mafanikio yako. Utaishi kwa raha sana
📌📌📌📌epuka kufuatilia maisha ya watu wengine, bali zingatia maisha yako na mafanikio yako. Utaishi kwa raha sana
✅️✅️✅️Hata uzungukwe na watu wabaya kiasi gani, kamwe husichoke kuwa mwema. Mwisho wa siku, nao watakufuata na kuwa wema. Jifunze kuishi na watu wenye nia mbaya na wewe. Tabasamu lako kwao ni msiba"
👍👍Hata uzungukwe na watu wabaya kiasi gani, kamwe husichoke kuwa mwema. Mwisho wa siku, nao watakufuata na kuwa wema. Jifunze kuishi na watu wenye nia mbaya na wewe. Tabasamu lako kwao ni msiba"