myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Watu wenye nguvu hawawaangushi wenzao, bali huwanyanyua"

Sio kila shari ni shari. Shari zingine zimeletwa kutusafishia njia. Kumbuka, likuepukalo lina kheri na wewe"
Si kila unayemuona timamu ni timamu. Wengi wanaonekakana timamu ni waathirika wa afya akili kuliko wanaokotoa makopo njiani. Tujenge tabia ya kuangalia afya zetu kwa kina sana"
Unapokaa katika kiti cha Enzi, kamwe usiwaone wengine wadogo sana kwako. Aliyekuketisha hapo aweza kuipindua hali. Mungu hadhiakiwi"

Hatuitafuti elimu ili kuondoa umaskini, bali tunaitafuta elimu kupata mbinu za kupambana na umaskini"
Kamwe, husiishi kwa kuwa na matumaini ya jambo fulani. Kwa hali hii, hutosikitishwa kama halikutokea"
Never live expecting something, that way, you will never be DISAPPOINTED.
TAFAKARI SANA!
Unapokaa katika kiti cha Enzi, kamwe husiwaone wengine wadogo sana kwako. Aliyekuketisha hapo aweza kuipindua hali. Mungu hadhiakiwi"
✔️✔️✔️Hatuitafuti elimu ili kuondoa umaskini, bali tunaitafuta elimu kupata mbinu za kupambana na umaskini"
Kamwe, husiishi kwa kuwa na matumaini ya jambo fulani. Kwa hali hii, hutosikitishwa kama halikutokea"
Never live expecting something, that way, you will never be DISAPPOINTED.
TAFAKARI SANA!
Kamwe, husiishi kwa kuwa na matumaini ya jambo fulani. Kwa hali hii, hutosikitishwa kama halikutokea"
Never live expecting something, that way, you will never be DISAPPOINTED.
TAFAKARI SANA!
Kamwe, husiishi kwa kuwa na matumaini ya jambo fulani. Kwa hali hii, hutosikitishwa kama halikutokea"
Never live expecting something, that way, you will never be DISAPPOINTED.
TAFAKARI SANA!
Si kila unayemuona timamu ni timamu. Wengi wanaonekakana timamu ni waathirika wa afya akili kuliko wanaokotoa makopo njiani. Tujenge tabia ya kuangalia afya zetu kwa kina sana"
Kama unajiona wewe sio mtu wa kukosea, basi tambua kuwa kuna watu unawabebesha makosa yako"