myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌📌Muhimu sana kuweka hisia pembeni, mahala ambapo akili ndio ina paswa kutumika.
📌📌📌Muhimu sana kuweka hisia pembeni, mahala ambapo akili ndio ina paswa kutumika.
Muhimu sana kuweka hisia pembeni, mahala ambapo akili ndio ina paswa kutumika.
✔️✔️✔️Ukiwa na chuki na roho mbaya isiyo na maana. Kuna siku utakuwa unaandaa maji ya ugali. Wakija wageni utayageuza ya kuoga.
Ukiwa na chuki na roho mbaya isiyo na maana. Kuna siku utakuwa unaandaa maji ya ugali. Wakija wageni utayageuza ya kuoga.
Matatizo ni fursa ya kufanya kilicho bora zaidi.
✔️✔️10:02.
Ijumaa
Feb 14 2025