Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jifunze kukubali kuchukiwa. Hii inakupa uhuru wa kufanya kinachopaswa kufanyika, hata kama hakipendwi. Changamoto kubwa zaidi maishani ni kugundua wewe ni nani. Changamoto ya pili ni kufurahia kile utakachogundua.
Jifunze kuwasiliana.
Jua nini useme wapi na wakati gani.
Waite watu kwa majina yao,
Unapokaa usipinde, kifua mbele, mabega yasimame kisawa sawa,
Ukiongea waangalie watu machoni,
Ukiongea na watu sikiliza zaidi, ongea kidigo.
Unapoongea na watu angalia lugha mwili.
Kila unapoongea na watu, wape thamani wajisikie.
Utakuwa Unstoppable.