myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usijilinganishe na maisha ya watu wengine kila mtu anafanikwa kwa wakati wake
πππJifunze nidhamu na uthabiti na uangalie maisha yako yakibadilika
NakubalianaMzunguko wako wa marafiki unatakiwa ujivunie, sio wivu.
SawasawaUsikate tamaa kuwa na uvumilivu Endelea kupambana hadi upate unachotaka. Usitegemee sana bahati. Bahati ni kwa wavivu na wale wanaoshindwa. Jitendee wema. Tengeneza bahati yako mwenyewe kwa kufanya Juhudi
SawasawaJifunze nidhamu na uthabiti na uangalie maisha yako yakibadilika
SawasawaUsikate tamaa kuwa na uvumilivu Endelea kupambana hadi upate unachotaka. Usitegemee sana bahati. Bahati ni kwa wavivu na wale wanaoshindwa. Jitendee wema. Tengeneza bahati yako mwenyewe kwa kufanya Juhudi
β οΈβ οΈβ οΈKuwa Mwenye Mnyenyekevu, Kuwa Na Ufahamu Lakini Usiwe Mjinga
Usikate tamaa kuwa na uvumilivu Endelea kupambana hadi upate unachotaka. Usitegemee sana bahati. Bahati ni kwa wavivu na wale wanaoshindwa. Jitendee wema. Tengeneza bahati yako mwenyewe kwa kufanya Juhudi
NAKUBALIKuwa Mwenye Mnyenyekevu, Kuwa Na Ufahamu Lakini Usiwe Mjinga
βοΈβοΈβοΈUaminifu ni msingi wa kila kitu. Ukipoteza ni vigumu kuurudisha na utapoteza vingi sana kwenye maisha yako. Linda uaminifu wako ni Hazina ya thamani
Usikate tamaa kuwa na uvumilivu Endelea kupambana hadi upate unachotaka. Usitegemee sana bahati. Bahati ni kwa wavivu na wale wanaoshindwa. Jitendee wema. Tengeneza bahati yako mwenyewe kwa kufanya Juhudi
πππUaminifu ni msingi wa kila kitu. Ukipoteza ni vigumu kuurudisha na utapoteza vingi sana kwenye maisha yako. Linda uaminifu wako ni Hazina ya thamani
Sawasawa kabisaUkipata mtu anayekwambia ukweli pale unapokosea usimjengee chuki, usivunje Kioo chako
Mwanga hauhitaji kuwa mkali ili kuangaza giza. Hata mwanga mdogo wa tumaini unaweza kuleta mabadiliko makubwa. Endelea kung'aa, haijalishi hali ilivyo
πππMwanga hauhitaji kuwa mkali ili kuangaza giza. Hata mwanga mdogo wa tumaini unaweza kuleta mabadiliko makubwa. Endelea kung'aa, haijalishi hali ilivyo
πππUkipata bahati ya kupendwa jitahidi sana kupunguza dharau, Watu wanabadirika
Unatoa wapi hizi nukuu?Kila Siku Unayoamka, Una Nafasi Ya Kujaribu Tena.
Heshimu wale wanaobeba mapungufu yako kwa sababu hujui jinsi wanavyoteseka.
Heshimu wale wanaobeba mapungufu yako kwa sababu hujui jinsi wanavyoteseka.