myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
πππUkipata bahati ya kupendwa jitahidi sana kupunguza dharau, Watu wanabadirika
Unatoa wapi hizi nukuu?Kila Siku Unayoamka, Una Nafasi Ya Kujaribu Tena.
Heshimu wale wanaobeba mapungufu yako kwa sababu hujui jinsi wanavyoteseka.
Heshimu wale wanaobeba mapungufu yako kwa sababu hujui jinsi wanavyoteseka.
zipo emoji za dislikeJF waweke na kitufe cha "dislike"
βοΈβοΈβοΈHeshimu wale wanaobeba mapungufu yako kwa sababu hujui jinsi wanavyoteseka.
Kanuni yetu ni ile ile hata tupitie kwenye mazuri na magumu ya namna gani, lakini hatuwezi kusahau kumwabudu na kumwomba Mungu.
SawasawaUshindi na mafanikio makubwa ni kibali anachokupa MUNGU, na sio mwanadamu
πππUshindi na mafanikio makubwa ni kibali anachokupa MUNGU, na sio mwanadamu
β οΈβ οΈUshindi na mafanikio makubwa ni kibali anachokupa MUNGU, na sio mwanadamu
βοΈβοΈUshindi na mafanikio makubwa ni kibali anachokupa MUNGU, na sio mwanadamu
πππKanuni yetu ni ile ile hata tupitie kwenye mazuri na magumu ya namna gani, lakini hatuwezi kusahau kumwabudu na kumwomba Mungu.
β οΈβ οΈβ οΈKanuni yetu ni ile ile hata tupitie kwenye mazuri na magumu ya namna gani, lakini hatuwezi kusahau kumwabudu na kumwomba Mungu.
Ukimuomba Mungu akufungulie milango ya mafanikio, usisahau kumuomba akufundishe jinsi ya kupita humo kwa unyenyekevu, maana baraka nyingi hupitia kwa watu..
β οΈβ οΈβ οΈSiku moja isikuaribie mpango wako wa mwaka mzima
Amini Kwamba "Mungu alitaka ukifungua mipango, hamna mwanadamu anayeweza kuweka kizuizi"
Siku moja isikuaribie mpango wako wa mwaka mzima
Wakati Unamuomba Mungu Akupe Mafanikio Usisahau Kuomba Akupe Hekima Ya Kuishi Na Watu Vizuri Maana Vitu Vingi Tunavyovihitaji Vipo Mikononi Mwa Watu
KWELI KABISA HILIUkimuomba Mungu akufungulie milango ya mafanikio, usisahau kumuomba akufundishe jinsi ya kupita humo kwa unyenyekevu, maana baraka nyingi hupitia kwa watu..