myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Kukosea ni ishara kwamba unajaribu mambo mapya,Makosa katika harakati za kutafuta kipato ni zawadi inayokufundisha nini hakifanyi kazi usikirudie,Ni heri kujaribu ukakosea kuliko kulala kusubiri miujiza ambayo haiwezekani kutokea,Fanya ukosee rekebisha Kisha songa mbele usiogope

Ndoto zako zinatimia kwa bidii yako. Zikabili changamoto, songa mbele kwa kujiamini, na mafanikio yatakujia
Mahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana
ππNdoto zako zinatimia kwa bidii yako. Zikabili changamoto, songa mbele kwa kujiamini, na mafanikio yatakujia
β οΈβ οΈβ οΈMahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana
Mahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana
Pale safari inapoanza usipoteze muda kuwaza namna ya kuanza safari, ulishaamua hivyo songa mbele
Sahihi na nakubaliKesho yako inategemea leo
SawaJitume sasa, utavuna kesho.
Ukiachwa.. Umia.. Kubaliana na hali .. Jiuguze.. Utapona.. Kisha songa mbele
Pale safari inapoanza usipoteze muda kuwaza namna ya kuanza safari, ulishaamua hivyo songa mbele
SawasawaPale safari inapoanza usipoteze muda kuwaza namna ya kuanza safari, ulishaamua hivyo songa mbele
Tumia muda wako kwa hekima.
Uko sawaAnguko la Mtu Sio Kushindwa Bali Kubaki alipoanguka bila kuinuka.Amka,jikung'ute vumbi,songa mbele
ππThamani yako ni kubwa sana.
Anguko la Mtu Sio Kushindwa Bali Kubaki alipoanguka bila kuinuka.Amka,jikung'ute vumbi,songa mbele
Mbele kwa MbeleUsikate tamaa, songa mbele.
Ikiwa una ndoto, usiruhusu ukimya wa watu wengine ukufanye uache kujaribu. Jitume, songa mbele, na siku moja mlango wako wa bahati utafunguka