Na mnaoga maji ya moto? Mungu muweza wa yote leo katuhurumia hali ya baridi imepungua,leo ni 8°C sina shida na maji ya moto [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa nilipo muda huu nyuzi joto ni 21'c, kutokana mazoea ya mji wetu huu hali hiyo huhesabiwa ni baridi, ingawa baadhi yenu nyuzi joto kama hizo huko husomeka hali joto tu.
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Jamaa mbona mapema sana leo, jana hukupata jibapa?Salama mkuu,habari ya kuamka?
Mkuu habari yakoSawa kaka
Pokea kiongozi, vipi kwema lakiniLengo la hapa ni kupeana liked
Kazi yako uliyofanya jana imekubalika mkuu pokea likesLike it like this....
LIKES"" kwa page
I will be here in some days dada.Nawamiss sana jamani.Good morning my dear brother
Umepotea kabisa ndugu yangu
Mkuu hii lugha naiweza...andaa ligi na mimi.Karibu.Wabongo bwana, wao huongea English nyakat mbili tu, asubuhi utawasikia
" good morning' na usiku utaona "good night" mnatsha tz
mwerevu