myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Mpende mtu kabla hajafanikiwa, Akifanikiwa atapendwa na wengi.
Nyumba yako ndogo ni ndoto ya wasio na makaazi, Chakula chako ni ndoto ya mtu mwenye Njaa, Afya yako ni ndoto ya mgonjwa,Usiruhusu nyakati ngumu zikufanye usahau Baraka ulizonazo
Hakikisha kwenye haya maisha kuna mtu wa kukuonea Huruma, Kuna muda mapenzi pekee hayatoshi.
😇Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
😄Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.