moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
🙏Jioni njema wakusoma na waalimu wenu
🙏🙏Jioni njema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga wote, kesho nayo siku
🙏🙏Jioni njema walezi wa familia zetu
🙏🙏Jioni njema mamalishe wote
🙏🙏Jioni njema wadau wa daladala bodaboda bajaji na kwenye vivuko
🙏🙏Jioni njema wadau wa sokoni dukani gengeni saluni na hotelini
🙏🙏Mlio safarini mfike salama muendako
🙏🙏🙏Jioni njema mliokuwa maofisini leo