moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
πJioni njema wakusoma na waalimu wenu
ππJioni njema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga wote, kesho nayo siku
ππJioni njema walezi wa familia zetu
ππJioni njema mamalishe wote
ππJioni njema wadau wa daladala bodaboda bajaji na kwenye vivuko
ππJioni njema wadau wa sokoni dukani gengeni saluni na hotelini
ππMlio safarini mfike salama muendako
πππJioni njema mliokuwa maofisini leo