Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Ungemlea lakini ? šš au ndo ingekuwa jau!Dada kaka imeniliza sanaš„²umenikumbusha kuna kipindi kwanini nilimwagia nješkumnusuru demu asipate mimba alikua Chuo mwaka wa mwisho
Basi cha ajabu mimi kanisubirisha mwaka ulio Fuata kapewa mimba na mwanaume mwingine! Nikasema nilifanya mistake kumuonea huruma jobless mimi