Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Una uwezo wa kipekee wa kupata kila unachokitaka endapo utaamua kukifanyia kazi kwa imani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akika.... Amen Amen ujumbe umfikie Bolotoba makutupora 👆Kinachokupa furaha ndicho kinachoweza kukuumiza hakuna mwenye huzuni milele kuna wakati utapitia changamoto za maisha Na kuna wakati unakua upo sawa kimaisha Mtangulize Mungu
Ujumbe huu umenifikia kabisa!
Tuishi humo ndugu yanguUjumbe huu umenifikia kabisa!
Umenifikia wakati ambao nilikuwa natafakari jambo fulani! Ambalo ni kiu yangu kubwa sana!
Na ujumbe huu umenitia moyo
Tutafika ... Na tukifika tutaelewa kwanini ili tupasa yote yatokee kama ilivyo tokea!Tuishi humo ndugu yangu
Tuzidi kusonga mbele..... Haupo pekee... Sote ni familia 👊Tutafika ... Na tukifika tutaelewa kwanini ili tupasa yote yatokee kama ilivyo tokea!
Pamoja sana brotherTuzidi kusonga mbele..... Haupo pekee... Sote ni familia 👊
Dada kaka imeniliza sana🥲umenikumbusha kuna kipindi kwanini nilimwagia nje😁kumnusuru demu asipate mimba alikua Chuo mwaka wa mwisho