myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
UKINENEPA unakula sana, UKIKONDA mgonjwa,UKIVAA VIZURI unajionyesha, UKIVAA KAWAIDA huna pesa, UKIWA BIZE unaringa, UKIWA KARIBU NAO huna la kufanya,Hakuna kitu utakacho fanya binadamu akaacha kuongea, unachotakiwa kufanya ni kufanya kile kitakacho kupa AMANI

KILA MTU ANA CHA KUPIGANIA,
Kuna mtu yupo anapigania Afya saa hii,
Mwingine Anapigania Apate mtoto,
Mwingine Anapigania Utafiti wa kuibadilisha dunia,
Mwingine anapigania wewe ufeli kwenye mambo yako
Sisi Twende leo tukapiganie kesho yetu maana Tukifeli sisi wanafeli wengi
SahihiMungu akikupatia Fursa ya kuomba, Basi hakikisha unaomba sana, kwa sababu wapo ambao wanaitafuta hiyo fursa lakini hawaipati.
SawasawaMungu akikupatia Fursa ya kuomba, Basi hakikisha unaomba sana, kwa sababu wapo ambao wanaitafuta hiyo fursa lakini hawaipati.
Siku zote kumbuka kutenga muda wa wewe kuwa na furaha, maana muda wa huzuni hujitenga wenyewe
📌📌📌Kwenye dunia hii ambayo kila mtu yupo na maisha yake na changamoto zake, endapo akitokea mtu akaonyesha juhudi na kukujali basi mthamini sana mtu huyo
🤣🤣FURSA NI KAMA EMBE
Wakati wewe unasubiri liive, wengine wanakula na chumvi.
Anza leo usisubiri kesho
FURSA NI KAMA EMBE
Wakati wewe unasubiri liive, wengine wanakula na chumvi.
Anza leo usisubiri kesho
Jitahidi usiwe mwema sana kwao, sababu hata chumvi ni muhimu kwenye mboga ila ikizidi sana huaribu ladha ya mboga
Usiogope kumpoteza anaekupotezea muda, bali ogopa kupoteza heshima yako kwa kumpa muda anaekupotezea muda
NAKUBALI HILIHakuna siku utakayo maliza matatizo yako yote, jipe muda wa kufurahia machache uliyo barikiwa.